Friday, February 6, 2009


Zuena Msuya kutoka TBC akiwa na Phillip Bugobora wa radio Passion Fm katika workshop ya intenet iliyofanyika katika ukumbi wa Tanzania Global Development Learning Centre jijini Dar es salaam.(picha kwa hisani ya Maggid Mjengwa)

1 comment:

  1. Mbona mnanichanganya kwenye hiyo picha naona kunawatu wengine pia lakininaona kuna watu wawili tu ambao umewazungumuzia,pengine kuna namna bwana acha story.harafu mbonahiyo picha inaonekana kuwa nyeusi sana au mlikuwa na njaa na assignment zilikuwa zimewazingua?

    ReplyDelete